Hisa za Mwanachama ni sehemu ya umiliki wa mtaji wa SK SACCOS...
Soma zaidiAkiba ni fedha ya Mwanachama kwa ajili ya mahitaji yake ya baadaye...
Soma zaidiAmana za Kawaida ni fedha ambayo mwanachama anaweka SK SACCOS...
Soma zaidiELCT ND SACCOS inatoa mikopo ya aina mbalimbali ambayo ni kama...
Soma zaidiChama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Same Kaya (SAME KAYA SACCOS) kipo Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Same. Makao Makuu ya Chama yapo Same Mjini karibu na soko la Same. Chama kina matawi mawili; Ndungu na Hedaru mita miamoja (100M) kutoka stendi ya ya Hedaru mjini ukiwa unaelekea Korogwe / Tanga / au Dar es Salaama
Nakipongeza sana Chama changu cha Same Kaya SACCOS kwani nimeiona nuru kupitia Chama hiki na sasa ninaishi kwa kuendesha biashara zangu vyema.
Nakipongeza sana Chama changu cha Same Kaya SACCOS kwani nimeiona nuru kupitia Chama hiki na sasa ninaishi kwa kuendesha biashara zangu vyema.
Nakipongeza sana Chama changu cha Same Kaya SACCOS kwani nimeiona nuru kupitia Chama hiki na sasa ninaishi kwa kuendesha biashara zangu vyema.
Same Kaya SACCOS itatoa mikopo kwa wanachama wote wenye sifa ya kupata mikopo kwa kuzingatia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kukopesha na kwa kuzingatia sera ya mikopo ya chama bila kuathiri sheria ya Huduma ndogo za fedha na Kanuni za huduma ndogo za fedha zinazosimamia SACCOS za mwaka 2019.
Akiba na hisa za mwanachama zilizowekwa chamani zitazingatiwa na kuwa kigezo muhimu cha kutoa mkopo kwa mwanachama na ikiwa mwanachama hajatimiza sharti la kuwa na hisa na kuweka akiba kama taratibu zinavyoelekeza katika sera ya uhamasishaji wa uwekaji akiba na hisa anaweza kukosa sifa ya kupata mkopo.
Tabia ya mkopaji itatathiminiwa kikamilifu kulingana na kumbukumbu zake za ukopaji na urejeshaji wa mikopo yake. Wanachama, Kamati ya Usimamizi, Kamati ya mikopo au kiongozi yeyote wa chama anayeweza kuwa sehemu ya kujua tabia ya mkopaji na anaweza kutoa maoni juu ya mkopaji husika.
© Copyright 2023. SAME KAYA SACCOS LTD.